Picha: Joseph Msami
Spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema wanawake bado wanateseka takribani kote duniani, wengine wakiambulia vipigo na kadhia mbalimbali.
Kandoni mwa mkutano wa Nne wa maspika wa mabunge duniani jijini New York spika Makinda amemueleza Joseph Msami wa idhaa hii, spika huyo wa kwanza mwanamke nchini Tanzania anasema lazima wanaume na jamii kwa ujumla wamkomboe mwanamke. Kwanza anaanza kueleza maudhui ya mkutano.
KUSIKILIZA BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wanawake wakiwezeshwa kielimu na kiuchumi wataweza kujisimamia, na kujithamini wawe wameolewav au hawajaolewa wanaweza kutoa mchango mzuri katika familia zao walizozaliwa, za kuolewa na katika taifa kwa ujumla. Wanawake wanahitaji kujitambua na kutafuta kujiendeleza na kujitegemea zaidi kuliko walivyo sasa hapa nchini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...