Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. haya Kazi hiyoooooo!!!! naona kamanda Ras makunja na kikosi cha FFU-Ughaibuni
    wanarusha virungu kwa wale walio firisika

    ReplyDelete
  2. Naona maafande wa kikosi maalumu ughaibuni wanamrushia mawe aliyeangukia ya pua..kweli Kamanda ras makunja unanimaliza

    ReplyDelete
  3. eh? watoto mbwa ngoma afrika muwe na adabu kwa watu wazima sio kila sehemu mnafanya fuji zenu

    ReplyDelete
  4. si mchezo ujumbe umefika kwa wahusika,kweli mapenzi ya pesa,inamaana mtu anauza mpaka kiwanja siku ya siku anaanguka kifo cha mende

    ReplyDelete
  5. Hebu Kamanda Ras makunja na watoto wa mbwa wenzio huu wimbo Mapenzi ya Pesa
    mnatuumiza vichwa ,unajua watu wa boda boda, walivuna sana mabasi yalikuwa yakizoa watu mikoa adi mikoa siku ya siku mtu kaambulia patupu kamanda kweli mjini shule mapenzi ya pesa

    ReplyDelete
  6. Mzee ujumbe huo ...wasalimie Monduli

    ReplyDelete
  7. Kweli tunakubali watoto wa mbwa na hoja ya Mapenzi ya pesa ukifirisika kimbia mji

    ReplyDelete
  8. FFU-Ughaibuni hili tofali la kichwa sio dongo bila huruma mnashambulia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...