Home
Unlabelled
Introducing Ngoma Africa Band's new hit single "Mapenzi Ya Pesa"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haya Kazi hiyoooooo!!!! naona kamanda Ras makunja na kikosi cha FFU-Ughaibuni
ReplyDeletewanarusha virungu kwa wale walio firisika
Naona maafande wa kikosi maalumu ughaibuni wanamrushia mawe aliyeangukia ya pua..kweli Kamanda ras makunja unanimaliza
ReplyDeleteeh? watoto mbwa ngoma afrika muwe na adabu kwa watu wazima sio kila sehemu mnafanya fuji zenu
ReplyDeletesi mchezo ujumbe umefika kwa wahusika,kweli mapenzi ya pesa,inamaana mtu anauza mpaka kiwanja siku ya siku anaanguka kifo cha mende
ReplyDeleteHebu Kamanda Ras makunja na watoto wa mbwa wenzio huu wimbo Mapenzi ya Pesa
ReplyDeletemnatuumiza vichwa ,unajua watu wa boda boda, walivuna sana mabasi yalikuwa yakizoa watu mikoa adi mikoa siku ya siku mtu kaambulia patupu kamanda kweli mjini shule mapenzi ya pesa
Mzee ujumbe huo ...wasalimie Monduli
ReplyDeleteKweli tunakubali watoto wa mbwa na hoja ya Mapenzi ya pesa ukifirisika kimbia mji
ReplyDeleteFFU-Ughaibuni hili tofali la kichwa sio dongo bila huruma mnashambulia
ReplyDelete