Wasomi wamchambua Dr. John Magufuli undani wa habari hii inapatikana katika magazeti ya leo Octoba.31.2015; https://youtu.be/DrYYX3PzFiY
Simba yaitega Azam, Mbeya City wamefanya kweli. Ndivyo gazeti la Mwanaspoti linavyojinadi katika kurasa zake siku ya leo; https://youtu.be/ljShGJxMUo0
Magufuli awapasha wanafiki, Vijana wa UKAWA waachiwa kwa dhamana, Tume ya uchaguzi yamaliza kazi rasmi. Pitia dondoo za magazeti; https://youtu.be/iZRIy7ugwsI
35 waliochoma maboksi ya kura Mbagala Kortini. Pata habari za kina zilizopewa kipaumbele katika magazeti hapa Simu.tv; https://youtu.be/GX8dtQr8QNQ
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...