Wapiga kura kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakiwajibika kwa utulivu na amani asubuhi hii.
 Utulivu na amani watawala kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
 Nidhamu, utulivu, uvumilivu na amani vyatawala kila sehemu. Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani
Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani
 Kituo cha Afisa Mtendaji wa Kata ya Olorieni jijini Arusha 
Kituo cha Dispensary ya Kata ya Olorieni, Arusha. 
Picha kwa hisani ya blogger Seria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Pongezi sana tujitahidini kumalizia hilo zoezi la kupiga kura kwa amani kabisa kwani licha ya salama wetu bali karibu dunia zima inaangalia waafrica watanzania watafanya nini au ndio yale yale ya vurugu kama nchi nyengine za Africa.

    ReplyDelete
  2. Sisi wengine tupo nje ila wekeni historia ili dunia ijue kua tz hatupendi vagi kama nchi zingine

    ReplyDelete
  3. MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  4. Inapendeza na kutia moyo kuona uelewa mpana uliopo na uliojionyesha kwa wananchi wa Tanzania katika kulikamilisha zoezi hili muhimu na tukio pekee la kihisitoria nchini. Kusema kweli tumeweza kuona tangu kampeni suala zima la amani na utulivu limekuwa likidumishwa na hata leo hii siku ya upigaji kura hali ingali shwari kitu ambacho kinaashiria muelekeo mzuri wa kuwepo kwa utulivu na amani mpaka hapo zoezi hilo litakapomalizika na hatimae kutangazwa rasmi kwa mshindi ambae ndiye atakaetuongoza tena kwa miaka mitano ijayo. In Sha Allah. AMANI NA UTULIVU VIDUMU TANZANIA.

    ReplyDelete
  5. Vyema kabisa watanzania wamejifunza kupanga foleni kwa ustaarabu,na uchaguzi upite salama, lakini mbona naona wanaume ndo wengi! wanawake wapo wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...