Dakika 90 za mtanange wa mpira wa miguu kati ya kikosi kamili cha Timu ya EFM 93.7 dhidi ya Tabata Veterani zilimalizika kwa sare ya bila kufungana, katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Tabata jijini Dar es salaam. Burudani hii ya mpira ilishuhudiwa na mamia ya wakazi wa Tabata waliovutiwa kuona wafanyakazi wa Efm wakiwemo Rdj’s na watangazaji wakisakata kabumbu.
Kikosi cha kazi cha EFM 93.7 chini ya kiongozi na nahodha wake Ssebo (wa pili kushoto waliosimama) kikiwa kwenye picha ya pamoja.
Kikosi cha Tabata Veterani
Mpira ukiendelea katika uwanja wa shule ya Msingi Tabata.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...