SIMU.TV: Aliyeokolewa Mgodini afariki dunia, Kasi ya Rais Magufuli yaanza kuitikiwa huku watumishi wakiaswa kutii Falsafa ya hapa kazi tu, Pata dondoo hizi hapa: https://youtu.be/TnDHiP8qJic
SIMU.TV: UVCCM walia na UKAWA kumsusia Rais Magufuli, Mchujo NECTA kuanzia darasa la 2. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa: https://youtu.be/yOe2_IifpGo
SIMU.TV: Wabunge wagonga mwamba kwa Rais Magufuli , Muhimbili hakukaliki, Mawaziri sura mpya zatawala. Dundika na Dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/rnNMdGMuLhg
SIMU.TV: Yanga Wamzingua Mzungu Simba, St. George waamua kumrudisha Mart Noorj, Maguli aipaisha Kilimanjaro Stars Ethiopia; https://youtu.be/SCiSOQrkL4A
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...