Hatimaye maafisa ardhi 10 waliotupwa rumande na mkuu wa wilaya ya Kinondoni baada ya kuchelewa kazini,waanza rasmi kazi yao leo. https://youtu.be/7TM2U2RM1fE
Makamo wa Rais Bi.Samia Suluhu awataka wanawake nchini kushirikiana katika masuala ya kuwaletea maendeleo badala ya kuendekeza tabia isiyofaa ya kubezana. https://youtu.be/sRA9B8U6z9I
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga marufuku biashara holela za vyakula, matunda , pombe za kienyeji, maji ya viroba pamoja na juice lengo likiwa ni kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu. https://youtu.be/jTQzo3-x_q4
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...