Ndugu Norbert Abel Masanja anasikitika tutangaza kifo cha kaka yake Herbert Andrew Magatala Masanja (pichani) kilichitokea Jana katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo jijiji Dar es salaam.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika katika Makaburi ya Mbweni baada ya Misa ya itayofanyika katika kanisa la KKKT Usharika wa Boko kesho Jumamosi Novemba 28, 2015 kuanzia saa nane mchana.
Msiba upo Boko njia ya kuelekea Ndege Beach.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0767406661 na 0788 406661

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...