Serikali imezindua bodi ya usimamizi wa miundombinu ya reli nchini yenye wajumbe 8 itakayo jihusisha na usimamizi na uangalizi wa miundombinu.https://youtu.be/EYQxEBqN5ao
Wakazi wa Moshi mkoani Kilimanajaro wamtaka raisi mteule kutekeleza ahadi zake alizoaahidi kipindi cha kampeni. https://youtu.be/PJajLOlGUAY
Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) waitaka serikali ya Zanzibar kuunda tume huru ya uchunguzi wa zabuni za upatikanaji wa zabuni za vifaa vya uchaguzi.https://youtu.be/CSh7KkatLwA
Wananchi wilayani Meatu watakiwa kuweka tofauti zao pembeni na badala yake washirikiane katika kuijenga Tanzania kwa uchaguzi umekwisha.https://youtu.be/L74yNDjcVzE
Tanzania yaelezwa kuendelea kukumbwa na tatizo la watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi huku mikoa kadhaa ikiongoza. https://youtu.be/JXgsweRmvt4
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...