CCM Zanzibar yaiijia juu ZEC, Matokeo darasa la 7, CCM Zanzibar yajiandaa na marudio ya uchaguzi.Tazama uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/6R-bt6q2Jd0
UVCCM yataka uchunguzi zabuni za uchaguzi Zanzibar,Ufaulu darasa la 7,pata habari hizi na nyingine nyingi kupitia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/dRdEfw8FHh4
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...