Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni.
Home
Unlabelled
NEWS ALERT: JPM AMSIMAMISHA KAZI KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hatunywi sumu, hatujinyongi! Psychiatrists wa bongo watakuwa busy saana, maana depression, anxiety, acute stress reaction, acute psychosis etc. Zitakuwa nyingi sana kwa sasa,
ReplyDeleteKila jambo lina maana yake na maisha lazima yaendelee kwahiyo ondoa shaka mdau usije ukafa siku si zako!
ReplyDeleteNchi ilishafika pabaya ya uzembe na ufisadi. Ili kuifufua nchi kila siku inabidi kutumbua hata majipu mawili hivi. Na siku pakiwa hakuna jipu limepigwa mwiba basi nahisi fisadi kapewa siku ya bure.
ReplyDeleteAliyekuambia mdau ana shaka ni nani, acha hizo waingereza wanaziita " asinine assumptions", mdau wa kwanza katoa facts, pengine ulikuwa hujazaliwa wakati wa azimio la Arusha.
ReplyDeleteMtakoma ubishi, sasa kama hamna shaka kutuambia kwamba Counselors wetu watakua busy coz of majipu? Sio tu Azimio la Arusha palikuwepo, operesheni vijiji,opersheni utamaduni,operesheni funga mikanda, operesheni maduka,operesheni uhujumu uchumi........ na vyote vilipita hapakuwepo na rekodi hiyo unayoiota mdau..!
ReplyDeleteWee mdau hapo juu; mwogope mungu wako, eti enzi za azimio la Arusha ulikuwepo??
ReplyDelete