Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni vizuri sana kusikiliza, kuelewa kutafakari na kukubsli ukweli wa jambo hata kama unaona kwako ni mtihani. Tulipoambiwa kuhama mabondeni tulipnga sana mpaka watu kufika kusema wanajuta kumchagua Maguguli zaidi ya hilo Mbunge kenda mbali zaid kishitaki serikali kuwa kwa kufanya hivyo wanakiuka haki za binadamu, somo limepatikana kwa mvua za juzi kuamkia jana ambazo ni mvua za mwanzo tu, na utabiri unasema kuna makubwa zaidi ya hayo,.Sasa tunaitaka serikali itutafutie pa kwenda je hapa tulipo tumekujaje? Tulifuata taratibu? Hatukujua kama hapo ni mkondo wa maji? Jamani Tutafakari kabla ya kutenda tusiweke, Lawama mbele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...