Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu Serikali kuhamishia akaunti zote za mapato Benki Kuu (BoT). Kimei ameunga mkono hatua hiyo na kuwataka wananchi wasiwe na hofu.
Dk Kimei akitafakari jambo
Mkurugenzi wa Utafiti, Masoko na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa akiwaruhusu wanahabari kuuliza maswali wakati wa mkutano huo.Wengine ni Mkurugenzi wa Hazina wa CRDB, Alex Ngusaru na Philip Alfred ambaye ni Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa benki hiyo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...