Efm Radio,katika harakati
zakufanikisha ahadi ya kujenga madarasa, imekabidhiwa michoro ya ramani ya
madarasa ya sekondari wilaya ya Kinondoni kata ya Kimara, Makabidhiano
yaliyofanyika katika ofisi za Kituo
hicho cha Utangazaji kupitia masafa ya 93.7 leo asubuhi
Mkurugenzi Mkuu wa Efm Radio,
Francis Siza akipokea ramani ya michoro ya madarasa kutoka kwa Afisa elimu wa
wilaya ya Kinondoni Bwana Rogers J. Shemwelekwa.
Afisa
elimu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Rogers J. Shemwelekwa katika picha ya pamoja
na uongozi wa Efm Radio baada ya makabidhianao ya michoro ya madarasa,(kushoto)
ni Mkurungezi mkuu wa Efm Radio Bw.Francis Ciza, (wa pili kulia) ni Mhariri mkuu
Scholastica Mazula na kulia kabisa meneja mahusiano na mawasiliano Bw. Dennis Ssebo.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...