MABONDIA Cosmas Cheka na Mohamed Matumla wamesaini kuzipiga siku ya sikukuu ya Pasaka uzito wa kg 61 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akizungumza baada ya kutiliana saini ya mikataba kwa mabondia hawo
Mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema nimewasainisha mabondia Mohamed Matumla atakaezipiga na Cosmas Cheka ata hivyo nipo kwenye mazungumzo na mabondia Fadhili Majia na Nassibu Ramadhani ambao nilikuwa ningie nao mikataba ata hivyo kambi hizo mbili wametofautiana kiswahili kuusiana na mikataba hiyo ata hivyo naendelea kushawishi kambi zote mbili ziwe katika msimamo ambano tumekubaliana ili tufanye kazi.
mana tulikuwa tusaini mpambano uho leo rakini mezani nilikuwa na kambi moja tu ya Ramadhani hivyo atukuweza kuelewana na kambi ya Majia.
wakati uho uho bondia Vicent Mbilinyi atatwangana na Mwinyi Mzengela katika mpambano wa raundi nane uzito wa kg 63.
na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' atakumbana na Twaha Kiduku mpambano wa raundi nane uzito wa kg 63.
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo mpya za masumbwi kati ya bondia Amir Khan vs Nichlaus Maidana na Floyd mayweather vs Nichlaus Maidana one and two Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
Bondia Cosmas Cheka akipokea mkataba wake wa kuzipiga na Mohamed Matumla siku ya sikukuu ya Pasaka kutoka kwa mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kutiliana saini ya kuzipiga siku ya sukukuu ya Pasaka katikati ni mdau wa masumbwi nchini Abdallah Mwasora
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto ambaye ni mratibu wa  mpambano wa bondia Mohamed Matumla (kulia) atakaepambana na Cosmas Cheka akikabidhiwa mkataba wake pamoja na sehemu ya malipo ya mchezo wake utakaochezwa siku ya  sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam.
Bondia Mohamed Matumla  akisaini mkataba wake wa kuzipiga na Cosmas Cheka siku ya sikukuu ya Pasaka katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto  akimhsabia kiasi cha fedha ambacho alikabidhiwa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wake.


Bondia Cosmas Cheka  akitia saini mkataba wa kuzipiga na Mohamed Matumla mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka. Kulia ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'super D' 

Bondia Cosmas Cheka kushoto akihesabu sehemu ya fedha zake kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Mohamed Matumla utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka  kutoka kwa mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...