Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na wananchi
katika Uzinduzi wa Wiki ya Sheria nchini uliofanyika katika kituo cha
daladala cha kabwe jijini mbeya.
kutoka kulia ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu Kanda ya Mbeya,
Jaji Noel Chocha akimpongeza Mkuu wa Mkoa Mh.Abbas Kandoro Shoto
wakati alipo kuwa akizungumza na Wananchi wa Jiji la Mbeya hawapo
pichani juu ya Mafunzo ya Sheria yaliyo anza kutolewa Sehemu
mbalimbali za Mkoa wa Mbeya.
Baadhi ya Wanasheria na Mahakimu wa Mahakama za Mkoani Mbeya
wakiwa katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya sheria nchini
iliyozinduliwa kimkoa katika Stendi ya daladala Kabwe jijini
Mbeya
Baadhi ya wananchi wakifuatilia uzinduzi wa maadhimisho ya
wiki ya sheria nchini yaliyofanyika leo katika kituo cha daladala cha
Kabwe jijini Mbeya. PICHA NA MR.PENGO MBEYA.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...