Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki (katikati) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete Bungeni Mjini Dodoma Februari 1, 2016.
Mbunge wa Hanang Dkt. Mary Nagu akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Januari 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Jukwaa la Wahariri nchini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 1, 2016. Kutoka kushoto ni Mjumbe , Jesse Kwayu, Makamu Mwenyekiti, Deodatus Balile na Katibu Mkuu Neville Meena.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 1, 2016. Picha na PMO







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...