Wanafunzi waliowahi kusoma miaka ya 80 katika Shule ya Sekondari ya Hegongo, Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, wakicheza muziki wakati wa hafla yao ya kukumbukana iliyofanyika kwenye Mgahawa wa City Sports Lounge, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Martine Jengo (kulia) na Mzee Hassan wakiserebuka
Mmiliki wa TSN Group, Farouq Baghoza (kulia), ambaye pia alisoma katika shule hiyo, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kumbukumbu.
Mmiliki
TSN Group, Farouq Baghoza (kulia) akiwa na wanafunzi aliosoma nao
katika shule ya Hegongo, Mkurugenzi wa Mgahawa wa City Sports Lounge,
Benny Kisaka (kushoto) pamoja na Gerald Yambi ambaye ni mwanachama
maarufu Kundi la Friends of Simba. Baghoza aliwahi pia kuwa Mwenyekiti
wa Saidia Taifa Stars Ishinde.
Mwanafunzi Edwin Pemba (kushoto) akiwa na Mwalimu John Sebo (katikati) aliyewahi fundisha katika Shule ye Sekondari ya Hegongo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...