Meneja mauzo kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Mathias Luoga akizungumza na wadau mbalimbali wa Kamera pamoja na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera, duka lililopo jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza
linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera.
linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera.
Mgeni Rasmi, Lita Paulsen (mwenye nguo nyekundu) na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Jumbo Camera House Ltd wakigonganisha glasi za shampeni katika uzinduzi wa duka la kamera lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.





Tujaribu kuachana na biashara ya uwakala na kutengeneza vya kwetu ili tuviuze nje = kutajirika!
ReplyDelete