Wanafuzi
106 wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Namabengo wilaya ya
Namtumbo mkoani Ruvuma wameandamana kwenda kumwona mkuu wa mkoa Said Mwambungu
kumpelekea malalamiko dhidi ya vitendo vya udharirishaji wanavyofanyiwa na
makamu mkuu wa shule hiyo Shaibu Champunga. Ebu wasikilize kupitia RUVUMA TV on
Line.
Home
Unlabelled
HIZI NDIZO SABABU ZILIZOPELEKEA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI NAMABENGO ILIYOPO MKOANI RUVUMA KUANDAMANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Siamini Kama hiyo mwalimu bado anapokea mshahara wa walipakodi 2016 bado kuna vitendo vya uzalilishaji ni aibu kubwa.
ReplyDelete