Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ,
Magesa Mulongo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi
1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa
wa Mwanza, Anthony Diallo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Mwanza Machi 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mwanza
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1,2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ilemela na Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabulla baada
ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimu wananchi baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa
wa Mwanza Magesa Mulongo
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitazama ngoma ya nyoka baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa
huo, Magessa Mulongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...