Katika pitapita leo, Kamera ya Globu ya Jamii iliinasa Taswira hii ya Mdau akisaka makopo ya maji kunywa yaliyotumika, katika moja ya mtaro uliopo eneo la Kinondoni Shamba jijini Dar es salaam, tayari kwa kwenda kupima na kuuza ili apate chochote kitu cha kusogeza siku. Biashara hii imekuwa maarufu sana katika maeneo mengi hapa mjini, vijana wengi wamejitoa kweli kweli kwenye shughuli hii.
Home
Unlabelled
KAZI NI KAZI TU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Naam! Kazni ni kazi, almuradi iwe ni kazi ya halali na kujituma kwa jasho lako almuradi mkono upate kwenda kinywani. Hongera sana kijana na MOLA azidi kukufanyia wepesi zaidi katika kutarazzaki kwako.
ReplyDelete