SIMU.TV: Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye atoa wito kwa viongozi wa dini nchini kutumia nyumba za ibada kuielimisha jamii kuondokana na imani potofu zinazo changia mauaji ya Albino na vikongwe.https://youtu.be/bDk5DjLDs8I  

 SIMU.TV: Mazishi ya baba wa katibu mkuu kiongozi balozi John Kijazi yafanyika leo nyumbani kwake wilayani Korogwe mkoani Tanga. https://youtu.be/M-0C4yQ4aRg  
  
SIMU.TV: Wizara ya nishati na madini yatoa ufafanuzi kuhusu mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi linalotarajiwa kujengwa kutoka nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania. https://youtu.be/7nGm_X_3h20  
  
SIMU.TV: Hatimaye shughuli za usindikaji wa ngozi katika ghala lililotajwa kuhatarisha afya za wakazi manispaa ya Dodoma zimesitishwa kufuatia agizo la Waziri Suleiman Jaffo. https://youtu.be/KdCeSVILNrg  

 SIMU.TV: Shirikisho la soka hapa nchini TFF limeaahidi kuwarudishia fedha mashabiki wote walionunua tiketi kuona mchezo kati ya Taifa stars na Chad baada ya timu ya taifa ya Chad kujiondoa kwenye michuano hiyo. https://youtu.be/XKm_0DXZ6Kw   

 SIMU.TV: Mshambuliaji Msweden Zlatan Ibrahimovich anayekipiga PSG amebainisha timu za Uingereza kumgombania ili aweze kuzitumikia msimu ujao.https://youtu.be/j3g5himL-gg  
  
SIMU.TV: Katika hali ya kusikitisha watu 4 wapoteza maisha na wengine 38 kujeruhiwa baada ya basi kuacha njia na kupinduka mkoani Iringa. https://youtu.be/5xoOi4Uko8E  
  
SIMU.TV: Askofu wa kanisa la AIC kanda ya Geita asema licha ya jitihada za kumbua majipu zinazoendelea iwapo watumishi wa umma hawatamgeukia Mwenyezi Mungu tatizo la rushwa na uhujumu uchumi vitaendelea tu. https://youtu.be/bv9sMH9PbVE  
  
SIMU.TV: Jopo la wafanyabiashara 40 wa Tanzania katika sekta ya madini na nishati linatarajia kuondoka nchini kesho kwenda nchini Uganda kwenda kumshawishi Rais Mseveni kuipa Tanzania mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka nchini humo kuja Tanga. https://youtu.be/o8yVwZcgrlc  

 SIMU.TV: Rais John Magufuli apokea taarifa ya ukaguzi wa hesabu za serikali kutoka kwa mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali huku hafla hiyo ikihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali. https://youtu.be/ePZhJdhYDYs  
  
SIMU.TV: Wachimbaji wa wadogo wa madini ya dhahabu walioko kata ya Kibindo mkoani Pwani wapinga hatua ya uongozi ya wilaya Bagamoyo kuwataka kuondoka katika machimbo yao kwa madai eneo hilo lina mwekezaji.https://youtu.be/gpLnieVzEyM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...