SIMU.TV: Serikali imelaani kitendo cha kupigwa kwa daktari katika hospitali ya rufaa ya Lugula mkoani Mtwara na kupelekea madaktari na wauguzi wa hospitali hiyo kugoma.https://youtu.be/xDX_zPKe7lY
SIMU.TV: Wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi yatekeleza yatekeleza agizo la Rais Magufuli la kuipatia bohari kuu ya dawa MSD eneo la ujenzi wa bohari ya Dawa ili kuepuka fedha za ukodishaji wa bohari. https://youtu.be/YsZANGQ40uM
SIMU.TV: Wizara ya mambo ya nje, ushirikiano wa afrika mashariki, kikanda na kimataifa yatoa ufafanuzi juu ya usitishwaji wa fedha za msaada kutoka mfuko wa changamoto za millennia zitolewazo na Marekani. https://youtu.be/ttm9KnI1VCI
SIMU.TV: Siku moja baada ya Rais Shein kumteua tena balozi Seif Ali Idd kuwa makamo wa pili wa Rais, kiongozi huyo mteule amesema kuwa anaamini Rais Shein atatumia hekima kuindeleza serikali ya umoja wa kitaifa. https://youtu.be/7GnCxDPKPNc
SIMU.TV: Serikali ya mkoa wa Dar es salaam yaombwa kuweka kando itikadi za kisiasa kwa lengo la kuwatumikia wananchi wote mkoani humo bila ya ubaguzi.https://youtu.be/iYIXqmS48dE
SIMU.TV: Rais Magufuli awataka watanzania kuwa wamoja na kufanya kazi huku akiahidi kupunguza mishahara mikubwa yote ya watumisi wa umma.https://youtu.be/jenUCzAPD1Y
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick abainisha uwepo wa watumishi hewa 111 katika utumishi wa umma mkoani humo.https://youtu.be/6zbWymmh6u8
SIMU.TV: Wazee katika kituo cha malezi cha Kiilima mkoani Kagera walalamikia kutopata chakula, usafiri pamoja na matibabu katika vituo vya afya na hospitali za serikali licha ya jitihada mbalimbali za kuwasiliana na ofisi za ustawi wa jamii manispaa ya Bukoba. https://youtu.be/Tk1FFhiZGr8
SIMU.TV: Waziri wa Ardhi William Lukuvi, aahidi kuwarudishia ardhi zao wananchi wote waliodhulumiwa ardhi zao na watendaji wa wizara hiyo.https://youtu.be/7bTd6_rwY4w
SIMU.TV: Waziri wa katiba na sheria Dr. Mwakyembe atoa ufafanuzi wa serikali juu ya kusitishwa kwa usajili wa asasi za kiraia baada ya kubaini uwepo wa kasoro katika mfumo wa uhakiki wa maelfu ya asasi zilizopo hapa nchini.https://youtu.be/a6NONdBt_oY
SIMU.TV: Wafanyakazi 3 wa shirika la umeme nchini TANESCO mkoa wa Morogoro wanashikiliwa na Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha mfanyakazi mwenzao. https://youtu.be/J9qDB0Ghjm0
SIMU.TV: Mshambuliaji wa Beyern Munich Robert Lwandoski amezima ndo za kusajiliwa na Real Madrid baada ya kusini mkataba mpya hadi 2020.https://youtu.be/DMWxUD_H0i0
SIMU.TV: Kombe la shirikisho inatarajiwa kuendelea siku ya Alhamisi huku klabu za Yanga na Azam zikishuka dimbani kusaka ushindi ili zisonge mbele.https://youtu.be/sjtNPWJLEpg


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...