SIMU.TV: Timu ya Yanga yaibuka kidedea ugenini baada ya kuifunga magoli mawili kwa moja timu ya APR kutoka nchini Rwanda: https://youtu.be/6hFcn55brp8
SIMU.TV:Watu watatu wapoteza maisha baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa JW mkoani Manyara; https://youtu.be/F1FpwMfPpXc
SIMU.TV:Ofisi ya bunge yatoa ufafanuzi juu ya kukamatwa kwa mbunge Ester Bulaya na kusafirishwa kwenda Dar es Salaam;https://youtu.be/JF0j0I14OWs
SIMU.TV:Serikali yakamata ng’ombe zaidi ya 300 waliokuwa wakitoroshwa kutoka Mvomero bila kuwa na kibali;https://youtu.be/sXQUFrQ5ReU
SIMU.TV:Wananchi wa Urambo Tabora wamemuomba waziri Isack Kamwelwe kuwawajibisha watendaji walioshindwa kujenga mradi wa maji licha ya kuwachangisha wananchi; https://youtu.be/2gr4nFyxiUE
SIMU.TV: Katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliaji aitaka DAWASA kuepuka gharama za kuagiza wataalam kutoka nje ya nchi;https://youtu.be/w0VGZelbHbc
SIMU.TV :Rais Magufuli amtumia salamu za rambirambi rais Shein kufuatia kifo cha moja ya wanamapinduzi aliyefariki jana visiwani Zanzibar;https://youtu.be/AanlXwIQhJM
SIMU.TV: Vituo binafsi vya afya vimetakiwa kutoa huduma bora za afya ya uzazi ili kuunga jitihada za serikali kutokomeza vifo vya mama wajawazito na watoto; https://youtu.be/Q1WFNBnrir4
SIMU.TV: Mh.Angela Kairuki ametoa wito kwa waajiri na wananchi kutunza nyaraka muhimu za ajira ili kuwaondolea usumbufu wakati wa kustaafu; https://youtu.be/KDwEJAORGYM
SIMU.TV: Wana tamutamu Mtibwa Sugar waibuka na ushindi dhidi ya JKT Ruvu baada ya kuwacharaza goli mbili kwa moja;https://youtu.be/37KIld6CDBM
SIMU.TV: Udanganyifu wa umri katika michuano ya vijana ya ligi ya mchezo wa kikapu NBA yawa changamoto kwa waendesha mashindano hayo;https://youtu.be/Y9Y2RmqUCwE
SIMU.TV: Somo la hisabati limetaja kuwa moja ya masomo muhimu katika msingi wa wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi sekondari. https://youtu.be/vbFH4mz6J1E
SIMU.TV: Jamii imetakiwa kutambua kuwa zama za enzi zimekwisha katika kumkandamiza mwanamke. https://youtu.be/QhHFKiJ5qu4
SIMU.TV: Jumla ya nyumba 7 za wananchi wa mkoa wa Kaskazini Pemba zimeteketea vibaya kwa moto usiku wa kuamkia leo.https://youtu.be/35E20rZdamM
SIMU.TV: Serikali ya Tanzania imesema kuwa ujio wa Rais wa Vietnam utaongeza wigo wa kibiashara katika nchi zote mbili.https://youtu.be/nIorLFKFYYs
SIMU.TV: Watu watatu wanahofiwa kupoteza maisha baada ya kupata ajali ya kufunikwa na kifusi katika mgodi mkoani Manyara :https://youtu.be/s_2dcDTUmkE
SIMU.TV: Serikali imeyafunika mashimo yanayosadikiwa kuwa na dhahabu mkoani Geita, baada ya watu watano kupoteza maisha katika mashimo hayo: https://youtu.be/z1nD57YwQUg
SIMU.TV: DAWASCO wamtumbua majipu mkazi wa manispaa ya Ilala baada ya kujiunganishia maji kinyemela kutoka katika bomba kubwa la DAWASCO: https://youtu.be/Keh-TSHsuP8
SIMU.TV: Timu ya Yanga yaibuka kidedea ugenini baada ya kuifunga magoli mawili kwa moja timu ya APR kutoka nchini Rwanda:https://youtu.be/6hFcn55brp8


Shukrani nyingi Taasisi kwa maendeleo haya. Lakini tuambiane ukweli. Kituo sio pekee katika Sub Saharan Afrika. Mbona Afrika Kusini vipo na ndugu zetu wengine wamefanyiwa upasuaji wa moyo huko? Hata hivyo kwa Tanzania hii bi hatua kubwa sana na tumshukuru sana Mhe Rais Kikwete na tuiombe Serikali ya Rais Magufuli iendelee kuwekeza huko pia.
ReplyDelete