Bi Tertula Mbuya wa Kilema moshi anasikitika kutangaza kifo cha mumewe mpenzi bw Urban Peter Mbuya kilichotokea alfajiri ya tar 11 march 2016 katika hospitali ya taifa ya muhimbili.
Mipango ya mazishi inafanyika mbezi beach nyumbani kwa binti yake na mwili wa marehemu unatarajia kusafirishwa kwenda kijijin kwake kilema moshi kwaajili ya mazishi tar 15 march 2016. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...