Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu (kulia kwa waziri) akimsikiliza Balozi wa Ujerumani nchini ,Egon Kochanke
(Katikati) wakati alipomtembelea ofisini kwake leo.
Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu akimsikiliza Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsen Nan(kulia kwa waziri
wakati alipomtembelea ofisini kwake leo.Wengine ni baadhi ya maofisa wa ubalozi huo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...