Col. Gervase Mang'wen'gula wa makao makuu ya jeshi la wananchi Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa Mkewe Easter Mang'wengula kilicho tokea usiku wa kuamkia jana (29/3/2016) katika Hospitali ya Tumbi Kibaha.
Mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa nyumbani kwa marehemu Kwa matiasi barabara ya Nyumbu kuanzia saa Saba mchana.
Habari ziwafikie Maofisa wote wa Jeshi la Wananchi Tanzania, askari wote wafanyakazi wa nyumbu, ndugu majirani na marafiki wa familia ya marehemu
BWANA AMETOA JINA LAKE LIHIMIDIWE AMEN



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...