Familia ya Marehemu Ambrose Lesulie Mushi ya Kirima Boro inasikitika kutangaza kifo cha ndugu yao Richard Ambrose Mushi kilichotokea katika hospitali ya Lugalo Dar es Salaam March 11, 2016.
Mipango ya mazishi inafanyika Legho hoteli Shekilango jijini humo.
Habari ziwafikie ukoo wote wa Mushi, Nshanga, Shio, Kimaro pamoja na jamaa na marafiki popote pale walipo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...