Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau wengine wa habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo. Mjadala huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews uli0fanyika Ofisi za Internews jijini Dar es Salaam juzi Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau wengine wa habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo. Mjadala huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews ulifanyika Ofisi za Internews jijini Dar es Salaam juzi Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau wengine wa habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo. Mjadala huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews ulifanyika Ofisi za Internews jijini Dar es Salaam juzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...