Ofisa Biashara Manispaa ya Temeke, Johnson Makaranga
akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa ucagzi wa Cham cha Wafanyabiashara
Wenyeviwanda na Kilimo (TCCIA), uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mwenyekiti aliyechaguliwa kwa kipindi kingine, Paul Koyi.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wafanyabiashara
Wenyeviwanda na Kilimo (TCCIA), wakiwa katika mkutano huo mkuu wa uchaguzi.
Msimamizi wa mashine za malipo kwa njia ya elektroniki za
EFD katika Mamlaka ya Mapato (TRA) Temeke, Kenneth Sawaya akizungumza wakati wa
mkutano mkuu wa uchaguzi wa Chama cha Wafanyabiashara Wenyeviwanda na Kilimo
(TCCIA).
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...