Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera TRA pamoja tukiwagunduwa tutawapigieni simu coz Tanzania si shamba tena la bibi fanyeni biashara zenu kiharari ili tuijenge Tanzania yetu

    ReplyDelete
  2. Hatua hizo ni muhimu lakin ni vyema zikaenda sambamba na kuangalia ikodi inazo zitoza serikali ikiwemo gharama za ushuru wa bandar na VAT. Malengo ya wafanya biashara ni kupata faida sasa kama faida haipatikani ima kwa ushuru kuwa juu sana au kutokuwa na kiwango kinacho eleweka kinawaweka wafanya biashara na serikali yenyewe kwenye mazingira magumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...