Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akiwasha mshumaa kuashiria uzinduzi wa maadhimisho ya Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi na Kiuchumi kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya .
Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi na Kiuchumi kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi na Kiuchumi kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...