Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga (wapili kulia), akiwasili kuzungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa ndani uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala. Kushoto ni Katibu wa UVCCM wilaya ya Temeke, Onesha Huruma na wapili ni Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga. 
  Ofisa wa katika Idara ya Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano Makao Makuu UVCCM, Juma Mchopanga akishauriana jambo na Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga baada ya kuwasili ukumbini. 
  Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, wakiwa katika mkutano wa ndani na Asenga, uliofanyika leo katika ukumbi wa Vigae Clasic, Mbagala 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...