Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Wataje Wakuu wa Wilaya wenzako waliokulalamikia Kama si kampeni!

    ReplyDelete
  2. Watanzania hata uwafanyie nini wao kila kitu ni negative tuu,makonda katoa wazo la waalimu watu wanalalamika,tatizo shida zimetuzidi mpaka tunapagawa nafikiri

    ReplyDelete
  3. http://bit.ly/loavideo2 "Tenda wema uende zako, usingoje shukurani". Jua halijiwakii lenyewe.Kila mtu ana kipai cha kuchangia jamii; kila mmoja akitafute chake akifanyie kazi. "If you live for people's acceptance, you will die from their rejection".Kuna kizazi chenye kuijua teknolojia zaidi kidogo kimeingia kazini tusitegemee U DC na U RC wa zama za marehemu Mzee Aron Mwakang'ata. Lazima ziwepo mbinu mpya za kazi kwa zama hizi. Ni aibu kwa gazeti lenye hadhi kama la Mwananchi kuingia kwenye michezo ya kukatisha tamaa na kuzomea bidii za DC mmoja tu. Kuna nini? Kuna nani? Kwa nini Mwananchi lisafanye tahmini ya viongozi wetu ma DC kwa mfano na siku zao 100 kwanza kwa mfano katika wilaya mbalimbali kama ilivyofanya kwa Mkuu wetu wa nchi badala ya kuandika idle speculation kama ilivyofanya Mwananchi kuhusu Kaasesela juzi? Kwa nini Mwananchi isifanye journalism iende Iringa iangalie toka amefika Iringa Kasesela amefanya nini objectively? Ukurasa ule wa picha na visentensi viwili 3 kuhusu Richard vilikuwa propaganda na siyo uandishi wa habari. hakukua na uchambuzi pale. Kazi za udaku siyo za Mwananchi Nawatakia ma DC wote na ma RC wote kazi njema na kutokatishwa tamaa na udaku. There will always be detractors. Tufanye kazi tusonge mbele na mafanikio tutayapata tu hata kama siyo kwenye U DC au U RC.

    ReplyDelete
  4. Piga kazi DC wetu.Usijali maneno yao.Hata Mitume walisemwa.Wananchi tunakukubali.

    ReplyDelete
  5. Mimi napenda style yake ya kuongoza kwa mifano, naomba na viongozi wengine tuige mfano huo wa mkuu huyu wa wilaya ya Iringa

    ReplyDelete
  6. sijui watanzania tufanywe nini ili tubadilike mnaniudhi sana basi... chapa viboko kuna watu hawana kazi .. wanachojua ni kujadili tu watu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...