Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki akizungumza katika hafla ya kuwakabidhi zawadi washindi wa shindano la wajasiliamali la kampuni ya Mafuta ya TOTAL iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya TOTAL Tanzania, Tarik Moufaddal
akizungumza wakati wa kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la
wajasialiamali hapa nchini ambapo washindi watatu bora wajasiliamali
walikabidhiwa zawadi zao na kampuni ya TOTAL katika ukumbi wa mikutano
wa hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni thelathini na tano Mshindi wa Kwanza, Iddi Kalembowa pili kutoka kuliakatika hafla ya kuwakabidhi zawadi washindi wa shindano la wajasiliamali la kampuni ya Mafuta ya TOTAL iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya TOTAL Tanzania na washindi wa shindano la wajasiliamali mara baada ya wajasiliamali hao kukabidhiwa zawadi zao katika hafla ya kuwakabidhi zawadi washindi wa shindano la wajasiliamali la kampuni ya Mafuta ya TOTAL iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...