Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha. (Picha na OMR) .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...