Mama Vicky Chungu aka Vicky Mtwenge.
Tunapata taarifa kuwa amewahi ishi Lushoto na Korogwe mkoani Tanga. Alitoweka 2003 mpaka leo hajaonekana.
Watoto wake Yussufu, Farida, Shabani,
Glory wanamlilia saaana mama yao.
Yusuf Mtwenge +255 766 493 301
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...