Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapo hata akimaliza kuyapitia yote, basi na nyonga yote taaban! Angalau huyo muhusika angewatundikia kwa juu juu kidogo, ili wavutike kuzisoma hizo heading na kununua biashara itoke. Namna hiyo kama kuwaadhibisha pia.

    ReplyDelete
  2. The mdudu, wazee wetu kama hao wapewe bule asome kisha aludishe tuwapende wazee wetu hapo mimi nahisi anasoma habari za timu yake ya YANGA au habari za wanao tumbuliwa MAJIPU ha ha ha Shikamoooo MAGUFULI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...