| Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Mhandisi Dk Erick Mgaya akipanda mti wakati wa maadhimisho hayo eneo la Kikuletwa wilaya Hai mkoa wa Kilimanjaro. |
| Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Said Mderu akipanda mti katika madhimisho hayo. |
| Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mkuu wilaya kabla ya kuanza upandaji miti kwaajili ya kutunza mazingira |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...