Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO), Mary Mtukula akikabidhi msaada wa kibinadamu kwa Bingwa wa Magonjwa ya kinaMama wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Daniel Nkungu, leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospital ya Mwananyamala Dkt.Delila Moshi akipokea masada wa kibinadamu kutoka kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) Shaban Mkwanywa leo jijini Dar es Salaam.
Wafanya kazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) wakichukua baadhi wa vitu walivyoendanavyo kwaajili ya kupeleka katika odi za wagonjwa.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii).
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...