Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (Kushoto) akiwa na akiwa na Mjumbe Maalumu wa Amani na Mwanaharakati wa Mazingira Bi. Getrude Clement (katikati) alipotembelea Ofisi ya Makamu wa Rais. Naibu Katibu Mkuu amempongeza kwa kuiwakilisha vema Tanzania Bw. Richard Muyungi.
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (Kushoto) na
akiwa na Mjumbe Maalumu wa Amani na Mwanaharakati wa Mazingira Bi.
Getrude Clement na Bw. Brightiles Titus wanaharakati wa Masuala ya
Mazingira. Bi. Getrude aliwasilisha ujumbe wa vijana katika utiaji saini
Mkataba wa Paris jijini Newyork kwa kushirikiana na Unicef.


Hongera sana binti yetu Getrude. Tumsaidie na kuhakikisha anafanikiwa shule ili miaka kumi ijayo wakiuliza yule binti mwenye kipaji aliyewasemea vijana duniani yu wapi tusijepata aibu. Chnagamoto kwa serikali na sisi wote kutunzza na kuenzi vipaji kama alichoonyesha binti huyu.
ReplyDelete