Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (Kushoto) akiwa na akiwa na Mjumbe Maalumu wa Amani na Mwanaharakati wa Mazingira Bi. Getrude Clement (katikati) alipotembelea Ofisi ya Makamu wa Rais.  Naibu Katibu Mkuu amempongeza kwa kuiwakilisha vema Tanzania Bw. Richard Muyungi. 

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (Kushoto) na akiwa na Mjumbe Maalumu wa Amani na Mwanaharakati wa Mazingira Bi. Getrude Clement na Bw. Brightiles Titus wanaharakati wa Masuala ya Mazingira. Bi. Getrude aliwasilisha ujumbe wa vijana katika utiaji saini Mkataba wa Paris jijini Newyork kwa kushirikiana na Unicef.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana binti yetu Getrude. Tumsaidie na kuhakikisha anafanikiwa shule ili miaka kumi ijayo wakiuliza yule binti mwenye kipaji aliyewasemea vijana duniani yu wapi tusijepata aibu. Chnagamoto kwa serikali na sisi wote kutunzza na kuenzi vipaji kama alichoonyesha binti huyu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...