Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akizungumza na viongozi waandamizi wa CCM katika wilaya ya Mafinga na mkoa wa Iringa, kabla ya kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, Mafinga mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo, wakati akitoka katika Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi kwenda ukumbini kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo, kwenda ukumbini kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...