Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa amevaa jezi ya Timu ya Mbeya City na ya Coastal Union ya Tanga akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya mtanange wa Mbeya City FC na Coastal Union SC kumalizika ambapo Coastal Union imebugizwa na Mbeya City FC "Wakoma kumwanya" goli 4-0 wafungaji wakiwa Ditram Nchimbi, Hassan Mwasapili, Tumba Swedi na Salvatory Nkulula.
Kipa Mkongwe wa Soka Nchini Juma Kaseja katika Ubora wake katika Lango la Mbeya City FC.
Wachezaji na Mashabiki wa Timu ya Mbeya City fc wakishangilia goli lao la nne katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO WA MMG MBEYA.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...