SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akutana na Bodaboda na kuzitaka SUMATRA, Polisi, na manispaa za jiji la Dar es salaam kupitia upya sheria inayowazuia bodaboda kuingia mjini huku akianzisha kipindi maalum cha televisheni.https://youtu.be/BJVAKmxcP1I

SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Geita Jenerali Ezekiel Kyunga aitaka jamii, makampuni na mashirika yanayofanya kazi mkoani humo kuwa mstari wa mbele kuchangia maendeleo ya elimu mkoani humo. https://youtu.be/i4zc0OkkYOE
SIMU.tv: Serikali yakamilisha kuweka miundombinu yenye kuonyesha anuani za makazi katika nyumba zilizoko kwenye baadhi ya mitaa ya Dar es salaam na mkoani Arusha.https://youtu.be/cTN9hAtyYKw
SIMU.tv: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene aitaka wakala wa mbasi yaendayo haraka DART na wadau wake kumaliza mara moja changamoto zinazochelewesha kuanza kwa mradi huo ili huduma hiyo iweze kuanza.https://youtu.be/Q-iletcEKbE

SIMU.tv: Waziri wa habari, utamaduni, wasanii na michezo Nape Nnauye azindua kamati ya maudhui na maadili kwa vyombo vya habari itakayokuwa inasimamia misingi ya maadili katika utoaji wa habari. https://youtu.be/MXmGj0Te3-A
  
SIMU.tv: Bosi wa zamani wa TRA na wenzake 2 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma mabalimbali ikiwemo utakatishaji wa fedha na kugushi nyaraka.https://youtu.be/TXlD88hDbeU

SIMU.tv:  Kamati ya Bunge ya biashara, viwanda na mazingira yaitaka TANESCO kutoa sababu za kuagiza mashine za kupozea umeme nje ya nchi badala ya kununua mashine hizo katika kiwanda cha kutengeneza mashine za umeme kilichopo Arusha.https://youtu.be/wn00WoPjbeo

SIMU.tv: Mkamo wa Rais Samia Suluhu amesema serikali itahakikisha wanawake wanaosoma masomo ya sayansi wanapewa kipaumbele ili kuwezesha usawa wa kijinsia. https://youtu.be/DLzFkseZNck

SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Kagera aagiza viongozi wa vijiji na vitongoji kuwachukulia hatua za kisheria watu watakaobanika kukata na kuchoma misitu bila vibali.https://youtu.be/RB588Z--pVI

SIMU.tv: Jeshi la polisi nchini limetoa muda wa miezi 3 kwa watu wanao miliki silaha nchini kuhakiki silaha hizo katika vituo vilivyowekwa nchi nzima.https://youtu.be/zfqI_FoTqSs

SIMU.tv: Rais John Magufuli amemteua Hilda Kabisa kuwa kamishina wa kazi na Prof Tumbo kuwa mkurugenzi mkuu wa kituo zana za kilimo na teknolojia vijijini.https://youtu.be/-QOqynzqvSk

SIMU.tv: Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo amevitaka vyombo vya habari nchini kuzingatia maadili ya utangazaji kama njia sahihi ya kuwaunganisha watanzania.https://youtu.be/4czpUvjgXfE

SIMU.tv: Takukuru mkoa wa Singida yatoa ripoti yake ya miezi 3, huku TAMISEMI na polisi zikiongoza kwa kukithitiri kwa vitendo vya rushwa; https://youtu.be/Z3HjVq4tgHI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...