Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya utendenezajia wa sabuni na bidhaa za aina mbalimbali alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya utendenezajia wa sabuni na bidhaa za aina mbalimbali alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi cheti Lulu Kaaya mmoja kati ya washiriki wa mashindano ya aina mbalimbali ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi zawadi maalum Atibele Biyamungu mshindi wa kwanza kwenye Shindano la kuandika ESE katika maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaa  wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani. Picha na OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...