SIMU.TV:  Watu 10 wajeruhiwa baada ya basi la Bunda express lililokuwa likitoka Musoma kwenda Dodoma kupata ajali  Manyoni ; https://youtu.be/FuY0QzgRRNw
 SIMU.TV:  Makamu wa rais Mh.Samia Suluhu amewataka wananchi kushirikiana na serikali ili kuwapatia malezi bora watoto wanaozaliwa na ugonjwa wa usonji ;https://youtu.be/g2bAkYurFPQ
 SIMU.TV:  Wakazi wa Siha wametakiwa kulinda vyanzo vya maji ili kuweza kutekeleza miradi ya maji katika wilaya hiyo;  https://youtu.be/dcBWJdy6exc
 SIMU.TV:  Wataalam wa zao la pamba watoa elimu kwa wakulima juu ya changamoto zinazojitokeza katika kukabiliana na wadudu; https://youtu.be/dshx2Uh-1pA
 SIMU.TV:  Wakulima Ruvuma waiomba serikali kuongeza vituo vya ununuzi zao la mahindi ili kuwapunguzia wakulima garama za usafirishaji;https://youtu.be/MTM2ne49THU
 SIMU.TV:  Wakulima Dodoma wameshauriwa kufuata ushauri wa wataalam juu ya matumizi ya mbegu ili kuongeza uzalishaji wa mazao; https://youtu.be/UHlzmR-sEN0
 SIMU.TV:  Timu ya Serengeti boys leo imeiliza timu ya Misri baada ya kuipa kichapo cha goli 2-0 katika mechi iliyochezwa Dar es salaam; https://youtu.be/sQzMYYXjW-c  
 SIMU.TV:  Mchezaji Uhuru  Simba awashauri wachezaji wenzake kujituma wanapokuwa uwanjani kupitia klabu zao ili waweze kuonekana kimataifa; https://youtu.be/rFgF6mqQEuc
 SIMU.TV:  Ukosefu wa mabwawa yawa changamoto katika kukuza na kuendeleza mchezo wa kuogelea nchini; 
 SIMU.TV:  Timu za Arsenal, Chelsea na Man City zashinda wapinzani wao katika mechi zilizochezwa leo katika ligi kuu ya Uingereza; https://youtu.be/tN_yhR_WsXM
 SIMU.TV:  Makocha wa timu ya Mtibwa Sugar pamoja na Mwadui watoa ya moyoni juu ya muenendo wa timu zao;  https://youtu.be/bbcAnsUrsTI
 SIMU.TV:  Mbunge wa Tanga Mh.Musa Mbaruku aitaka serikali kupeleka vifaa vya upasuaji katika vituo vya afya ili kunusuru maisha ya wananchi;https://youtu.be/l21SK_lyeKQ
 SIMU.TV:  Serikali imetenga shilingi milioni 600 kwa ajili ya kuwalipa fidia  wananchi ili kupisha ujenzi wa kiwanja cha ndege: https://youtu.be/LB1zB2gpEx8
 SIMU.TV:  Naibu waziri wa elimu Stella Manyanya amesema serikali itawachukulia hatua watakaowakosesha shule watoto wenye matatizo ya ubongo:https://youtu.be/BFHYuCKWwqs
 SIMU.TV:  Naibu spika Dkt. Tulia amesema nchi za Afrika zinatakiwa kujifunza jinsi nchi ya Tanzania inavyopambana na silaha za moto: https://youtu.be/Te4Rb6uBJn4
 SIMU.TV:  Waziri wa habari sanaa na michezo Mh.Nape Nnauye amesema serikali imejipanga katika kulinda  haki za wahandishi wa habari nchini:https://youtu.be/xRcIVYI1yGc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...