SIMU.TV: Mbunge wa Kiteto Mhe. Papian aihoji serikali juu ya upelekaji wa gari la wagonjwa pamoja na mafuta ili kurahisisha huduma za kliniki; https://youtu.be/cjcg-A_ZExM
 SIMU.TV: Mhe.Ester Midimu aihoji serikali juu ya hatua za haraka za ujenzi wa nyumba za watumishi katika wilaya mpya ya Ikirima; https://youtu.be/VTbOQNvetT8
 SIMU.TV : Je ni vigezo gani hutumika kuanzisha wilaya mpya? Naibu waziri wizara ya tamisemi, utumishi na utawala bora Mhe.Jafo anajibu swali hilo; https://youtu.be/n7voN7wZowU
 SIMU.TV: Serikali yatenga dolla za Kimarekani laki 540 kwaajili ya upembuzi yakinifu na ujenzi wa miundombinu ya barabara na mitaro Mtwara; https://youtu.be/lW-tPDKT2l4
 SIMU.TV: Mhe. Peter Selukamba mbunge wa Kigoma aikalia koo serikali juu ya upatikanaji wa maji Kigoma kaskazini; https://youtu.be/F54Cexl2zso
 SIMU.TV: Mbunge wa Moshi Mhe.Raphael ahoji viwanda vilivyobinafsishwa kutumika kama maghala badala ya kuendelezwa na kutumika kukuza ajira; https://youtu.be/cw_Yf3OEBCE
 SIMU.TV: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, huko mjini Moshi kiwanda kilichokosa muwekezaji chapangishwa kwa Sh.elfu 20; https://youtu.be/soa8mIfW_OI
 SIMU.TV: Naibu waziri wa fedha na mipango Dr. Ashatu Kijaji  atanabaisha juu ya hatma ya baadhi ya wastaafu kutolipwa mafao yao baada ya kustaafu; https://youtu.be/uKhbIM-S2NA
 SIMU.TV: Je ni utaratibu gani unatumika kukokotoa kodi katika forodha zinazopokea bidha za nje ya nchi ambazo pia zinazalishwa nchini? https://youtu.be/ig2YZASnsd4
 SIMU.TV: Fahamu mpango wa serikali katika kuwasaidia wakulima wa korosho waliopata hasara kufuatia mikorosho kukumbwa na magonjwa; https://youtu.be/E4gnNOE27aU
 SIMU.TV: Waziri Husein Mwinyi akitoa majibu ya serikali juu ya uboreshaji wa makazi  kwa askari wa majeshi ya ulinzi nchini; https://youtu.be/bWfu6caJJuc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...